KWA mahitaj ya season unaweza wasiliana nasi kwanamba 0743691545 only WhatsApp 24hors

DOWNLOAD| BLINDSPOT FULL SEASONS 1-3

Moja ya series kali ya ngumi ya kimarekani ambayo ina jumla ya sehemu 23 kwa season one
Season hii inamuhusisha  mwanamke mmojs ambaye alikutwa akiwa uchi katikati ya mji ndani ya begi huku mwili wake wote ukiwa umechorwa tattoo, baadae ikafahamika kuwa mwanadada huyo anaitwa Jane Doe, huku akiwa hana kumbukumbu ya kitu gani kimetokea kwenye mwili wake mpaka zimechorwa tatoo hizo, Pia kuna tattoo ya jina la Kurt Weller ambaye ni FBI, Ndipo uchunguzi ukaanza kufanyika kwa ajili ya kumtambua mwanaamke huyo huku mwanzoni aligundulika kama mwanajeshi wa Navy Seal ambapo alishiriki special operation.

SEASON ONE

SEASON TWO

SEASON THREE 
Share:

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Blog Archive

Powered by Blogger.

Labels

Blog Archive

Best App For Movies

Recent Posts

Sample Text

DJ JORAMU APPLICATION.

KARIBU KUUNGANA NASI HAKIKA UMEFIKA SEHEMU SALAMA KWA MOVIES NA SEASON ZOTE ZA KIJANJA.

ASANTE SANA

Pages

Theme Support

Kwa Matengenezo ya Blogs kama hii Tafadhali wasiliana nasi kwa simu namba 0717069756. KARIBUNI SANA